15 Nov 2018

Wakili Wa Serikali Daraja La II MDAs & LGAs November, 2018

admin

NOTE: This job listing has expired and may no longer be relevant!

Job Description

  • Anywhere
  • Applications have closed

Job Title: Wakili Wa Serikali Daraja La II. – 10 Post

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-11-09
Application Deadline: 2018-11-23

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Hili ni Daraja la Mafunzo katika kazi, hivyo Wakili wa Serikali katika daraja hili atafanya kazi za kisheria kwa maelekezo             ya Mawakili wa Serikali walio na Uzoefu kazini, pamoja na ;

ii.Kuendesha mashauri mepesi  Mahakamani;

iii.Kuendesha kesi  za mahakama kuu;

iv.Kutoa Ushauri wa Kisheria kwa Serikali  chini ya usimamiziwa Mawakili Waandamizi;

v.Kushughulikia kesi za vizazi, vifo, ndoa, na kesi zinazotokana na mirathi mahakamani;

vi.Kusimamia utayarishaji wa takwimu zinazohusu ndoa, talaka, mabadiliko na mabatilisho ya ndoa;

vii.Kutayarisha maandishi juu ya Sheria ambazo Serikali/Tume ya kurekebisha Sheria inataka zifanyiwe utafiti na kurekebishwa;

viii.Kufanya utafiti wa Sheria;

You may Also Like:

ix.Kuelimisha Umma kuhusu mambo ya Katiba na Haki za Binadamu.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

  • Mwenye Shahada ya Sheria (LLB) Kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali na kumaliza vizuri mafunzo katika kazi (Internship) ya mwaka mmoja katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

REMUNERATION: Salary Scale TGS.E

HERE to Apply

27 total views, 2 today

Apply for this Job