1 Dec 2018

Nafasi za Kazi 3094 Zilizotangazwa Serikalini na Mashirika Binafsi Leo Jumamosi 1 December 2018

admin

Job Description

  • Anywhere

 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 3094.
Tangazo lenye nafasi za kazi zinazotangazwa linapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Job expires in Endless.

189 total views, 10 today

Apply for this Job