23 Nov 2018

Nafasi za Kazi 1094 Zilizotangazwa Serikalini na Mashirika Binafsi Leo Jumatatu 26 November 2018

adminAnywhere

Job Description

  • Anywhere

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI: Nafasi za Kazi 1094 Zilizotangazwa Serikalini na Mashirika Binafsi Leo Jumatatu 26 November 2018

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 118.
Tangazo lenye nafasi za kazi zinazotangazwa linapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Nafasi za Kazi 1094 Zilizotangazwa Serikalini na Mashirika Binafsi Leo Jumatatu 26 November 2018

Job expires in Endless.

32 total views, 3 today

Apply for this Job