Job Poa

Nafasi za kazi Mtendaji Kijiji III Wilaya ya Busokelo

Nafasi zakazi ya Mtendaji Kijiji III Nafasi 7 Wilaya ya Busokelo
Kumb No. BDC/J.2/02/ VOL.V/90
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Busokelo anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza za kuajiriwa kuomba nafasi za kazi katika Utumishi wa Umm nafasi za Mtendaji Kijiji daraja la III KWAAJILI YA HALMASHAURI YA WILAYA BUSOKELO
1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 7
A. SIFA ZA MWOMBAJI
I. awe amefahulu kidato cha 4 na 6
II.aliyehitimu mafunzo ya atashahada/cheti katika moja ya fanai zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma nau chuo chochote kinachotambulika na Serikali
III. Awe raia wa Tanzania , mwadilifu mwenye umri kati ya Miaka 18 hadi 45
iv. mwenye tabia njema isiyotia shaka na ambaye hajawahi kutiwa hatian kwa kosa lolote la jinai
v. awe tayari kufanya kazi katika kijiji chochote cha Busokelo
B. KAZI NA MAJUKUMU
– afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
– Kuwa ulinzi wa amnai na usimamizi wa utawala bora katika kijiji
– kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
– katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji
– kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
– kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
– kusimamia kuusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za nyaraka
– kusimamia utungwaji wa sheria ndogo za kijiji
– kupokea, kusikiliza na kutatua malalmiko na migogoro ya wananchi
iii MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGS B
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Barua zote ziandike kwa mkono wa mwombaji na kutumwa kwa anuani ifuatayo
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,
S.L.P 2,
TUKUYU.
MUHIMU
A). barua zinaweza kutumwa kwa njia ya posta kwa walioko mbali na walio jirani wanaweza kuleta kwa mkono
B). Barua/ anawani anayotumia kwa sasa pamoja na namba za simu viambatanishwe na
– maelezo binafsi
– nakala za vyeti vya taaluma
– nakala ya cheti cha kuzaliwa
– picha 2 passport size za hivi karibuni
C). awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai
D). testimonials na provisional results havitakubaliwa
E). nakala zote za vyeti vithibitishwe na hakimu au wakili yeyote aliesajiliwa na kuthibitishwa
f). watakaochaguliwa kuhudhuria usaili watafahamishwa kwa kupitia simu walizoandika kwenye barua zao
mwisho wa kupokea tangazo hili ni tarehe 20/04/2018
aidha tangazo hili linapatikana kwenye tovuti www.busokelodc.go.tz 

Related Articles

Project Facilitators vacancies at Sikika-2018

Project Facilitators at Sikika Project Facilitators At Kinondoni, Kinondoni Dar Es SalaamJob summary: The project facilitators will be responsible for the implementation of community scorecard processes, which includes community mobilization, training the project participants and conducting Focus Group Discussions (FGDs). Specific Responsibilities • Conduct community meetings for the project introduction and participants’ mobilization • Work with […]

Water Network Artisan Job Opportunities at Tanga Urban Water Supply September 2018 – Ajira Tanzania

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Water Network Artisan (Two Positions) (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Tanga Urban Water Supply and Sanitation Authority (Tanga UWASA) is competitively best utility in the Tanzania Water Sector, supplying clean an( safe water and provides sewerage services in the Tanga City. The Authority with the ISO 9001:2015 certification in quality […]

Job Opportunities at Alistair Group September, 2018 – Ajira Tanzania

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Admin ClerkLocation: Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of Department: AdministrativeType: Full Time Min. Experience: Entry Level (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); 1. Overall PurposeTo support Alistair Logistics operations such that administrative objectives are met at the required work performance standard and in accordance with company behaviours and values.Ensure compliance […]